SHILINGI BILIONI 3 ZIMETENGWA KUANZA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA RUKWA

Na Englibert Kayombo – WAF, Bungeni . Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Bungeni Jijini Dodoma akiwa anajibu maswali ya nyongeza aliyouliza Mheshimiwa Bupe Nelson Mwakang’ata Mbunge wa Viti Maalim kuhusu